Lionel Messi ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwezi wa La Liga
Raia huyo wa Argentina amefunga mabao 51 katika mechi 49 hivyo kumfanya kushinda tuzo hiyo kwa Aprili lakini kwake inakuwa ni mfululizo
Tayari amepachika mabao 504 akiwa na kikosi cha Barcelona.
Post a Comment