UZALENDO KWANZA..UUNGWANA WA MPIRA TUMEZALIWANAO..MANARA ATOA YA MOYONI



ALIYEKUWA msemaji wa wekundu wa Msimbazi, Simba, Haji Manara ametumia kauli ya “uungwana wa kimpira

kuwapa hongera wapinzani wao Yanga SC kwa kufanikiwa kulitetea tena taji lao la Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Katika posti aliyoitupa kwenye ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika: “Uungwana wa kimpira tumezaliwa nao, hongereni watani, mapambano bado yanaendelea Yanga SC Tanzania.”

No comments

Powered by Blogger.