OFISI YA MTAALUMA MKUU WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA(AJTC) YABADIRISHA RATIBA YA MASOMO KWA KUPISHA UJENZI....
Mtaaluma mkuu wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha ametangaza mabadiliko ya ratiba ya chuoni hapo kuanzia leo mpaka October mwaka huu.
Akizungumza chuoni hapo mtaaluma huyo Bw Adisoni Kagie amesema ratiba hiyo imebadilika kutokana taratibu za kiserikali kupitia NACTE zilizolenga kuboresha miundombinu chuoni hapo.
Bw Adisoni amesema kunabaadhi ya vipindi vitafanyiwa mabadiliko kwa muda huu ili wautumie kwa ajili ya taaluma mpa mwezi wa kumi ili kupisha marekebisho ya kimiundombinu chuoni hapo.
Pia Bw Kagie amesema kwamba kuna baadhi ya madarasa yatawahi kufanya mitihani na hakutakuwa na athari yoyotena kwa wale wanafunzi watakao taka kuama chuo kwa muda huo wanaruhusiwa kwa kutoa taarifa na chuo kitafanya mipango yote ya huamisho.
Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC ni chuo kinachotoa mafunzo ya uandishi wa habari na utangazaji kilichopo jijini Arusha.
Post a Comment