MBUNGE.ALLY KESSY.. CCM ..ATAKA WALIOSAINI MIKATABA YA MADINI WANYONGWE...

Mbunge Ally Kessy bungeni jana alisema wote wanaohusika na kusaini mikataba ya madini ambayo ni ya kinyonyaji wanyongwe, aliungwa mkono na wabunge wengine wa CCM


Lipumba naye alisema mikataba hii ni Mkapa ndiye aliyesaini, Je Ally Kessy hajui kuwa Mkapa ndio muhisika wa hili hadi akataka anyongwe? na kama anajua ni kweli anataka rais mstaafu anyongwe? au Lipumba alikuwa anadanganya?












No comments

Powered by Blogger.