AC Millan wafanikiwa kumnasa Fabio Borini....
Mtandao wa Goal.com uliripoti kuwa straika huyo alitarajiwa kufanyiwa vipimo kabla ya kutinga uzi wa Milan akitokea Sunderland alikocheza mechi 24 na kufunga mabao mawili tu kabla ya kushuhudia timu hiyo ikishuka daraja msimu uliopita
Kabla ya kuzishezea Liverpool na Sunderland, Borini alianza soka lake akiwa Chelsea kabla ya kutimkia katika klabu za Parma na kisha Roma, zote za Ligi Kuu Italia “serie A”

Post a Comment