CHELSEA WAMUACHIA KURT ZOUMA KWA SHINGO UPANDE.....

Related image

BEKI ya timu ya Chelsea, Kurt Zouma anajiandaa kuondoka kwa mkopo kwenye kikosi hicho baada ya kukosa namba ya uhakika msimu uliopita.

 Zouma amepanga kwenda stoke city msimu ujao ili aweze kupata namba ya uhakika kabla ya kurejea kwenye ubora wake.

 Msimu uliopita alifanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu nchini England akiwa benchi.

No comments

Powered by Blogger.