Giggs asusa kufanya kazi na Jose Mourinho....
WINGA mstaafu wa Manchester United, Ryan Giggs amesema kuwa Jose Mourinho hakuhitaji wafanye kazi pamoja Old Trafford wakati anapewa kazi ya kurithi nafasi ya Louis Van Gaal.
Ilionekana kama vile Giggs amesusa lakini yeye mwenyewe ameibuka na kudai alikuwa tayari kuendelea na kazi kama angehitajika na Jose Mourinho.
Ryan Giggs kwa hivi sasa ameamua kufanya kazi ya uchambuzi wa michezo kwenye vituo vua runinga.
Post a Comment