HUKU kukiwa na taarifa za Cristiano Ronaldo kuhama Real Madrid, mmiliki wa Chelsea, Roman Abrahamovich amejitokeza kutaka kumsajili. Mtandao wa Express umesema bilionea huyo wa Urusi anataka kutumia kiasi cha fedha kitakachovunja rekodi ya dunia.
Post a Comment