BREAKING NEWS ZITTO KABWE AKAMATWA NA POLISI
ACT WAZALENDO Zitto Kabwe amekamatwa na polisi.
Taarifa zaidi zinasema Zitto amekamatwa akiwa nyumbani kwake Dar es salaam na kupelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe, habari hii imethibitishwa na Afisa Habari wa ACT Wazalendo Abdallah Khamis ambaye ameeleza kuwa sababu za kukamatwa kwake ni hotuba aliyoitoa juzi katika kata ya Kijichi.
Post a Comment