Fifa Yatoa Majibu Kuhusu Malalamiko ya Simba
Shirikisho la Soka la Kimataifa limerudisha majibu ya rufaa ya Simba na kusema, matokeo yanaendelea kubaki kama yalivyo.
Hivyo, kwa majibu hayo ya Fifa, Yanga wanaendelea kubaki mabingwa wa Ligi Kuu Bara na Simba wakiwa katika nafasi ya pili.
Shirikisho la Soka la Kimataifa limerudisha majibu ya rufaa ya Simba na kusema, matokeo yanaendelea kubaki kama yalivyo.
Post a Comment