LEMA AWAITA WACHAWI WALE WOTE WATAKAOLETA SIASA KWENYE TUKIO LA WANAFUNZI WA LUCKY VICENT





Mbunge wa Arusha mjini GODBLESS LEMA amelaani vikali kwa wale wote wanaoleta siasa  kuhisiana na ajali mbaya iliyotokea jana wilayani karatu baada ya wanafunzi wa shule ya msingi Lucky vicent kupata ajali wakati wakieenda kufanya mitihani ya ujirani mwema.


Kauli hyo imetolewa mapema leo na LEMA wakati akiwasili shuleni hapo kwa ajili ya kutoa salamu za pole kwa uongozi wa shule hyo pamoja na wazazi wa watoto wanaosoma shuleni hapo nakuongeza kua jambo hilo sio la kisiasa isipokua ni janga la Taifa na linalomgusa Kila Mtanzania.na hivyo kusisitiza kuwepo na busara za viongozi na sio mbwembwe za viongozi









No comments

Powered by Blogger.