Mambo matatu ameyaandika Rais Magufuli leo May 27, 2017
HAYA HAPA MABO MATATU ALIYOYAWEKA RAISI MAGUFULI
Nchi yetu imepata mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Kabaale/Uganda hadi Tanga/Tanzania,ni fursa kubwa ktk kuujenga uchumi wetu1/3
Mradi huu ni kielelezo tosha cha muendelezo wa ushirikiano wa nchi zetu mbili na hasa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. 2/3
Wito wangu kwa watanzania wote ni kuchangamkia fursa hii kipindi cha ujenzi na uendeshaji wa mradi huu. Mungu Ibariki Tanzania. 3/3
Post a Comment