Christian Bella kuoneshana umwamba na Ferre Gola june29..jijini Dares Salaam..

Image result for picha za ferre gola
Mfalme wa masauti Christian Bella anatalajiwa kutumbuiza  kwenye onyesho kubwa litakalofanyika jijini Dar es Salaam Juni 29  na huku aikisindikizwa na  nyota wa rumba barani Afrika, Ferre Gola.

 Onyesho hilo la ki – V.I.P litafanyika ndani ya hoteli ya Serena ikiwa ni maalum kwaajili ya mkesha wa siku ya uhuru wa Congo (DRC). Meneja wa Christian Bella, King Dodoo ameithibitishia juu ya onyesho hilo na kuongeza kuwa wawili hao watafanya onyesho lingine Julai 1. Dodoo amesema onyesho la Julai 1 litafanyika ndani ya ukumbi wa Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.