KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa msimu huu hayuko tayari kuthibitisha tetesi yoyote ya usajili
. Mourinho ambaye ameiongoza Manchester United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, alisema kuwa taarifa hizo zimemchosha kwa sababu nyingi ni za kutengenezwa na vyombo vya habari.
Post a Comment