Harusi ya Messi yaichafua mitandao ya kijamii Ulaya tazama hapa ilivyokua....



Usiku wa Ijumaa ya June 30 staa wa soka wa kimataifa wa Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi alifunga ndoa na mpenzi wake wa toka utotoni Antonella Roccuzzo ambaye pia wamezaa nae watoto wawili wa kiume.


Staa wa zamani wa FC Barcelona Samuel Eto’o na mkewe

Messi na Antonella Roccuzzo walifahamiana toka Lionel Messi akiwa na umri wa miaka mitano na Antonella Roccuzzo ambaye ni mke wake kwa sasa akiwa na umri wa miaka 4, wameamua kufunga ndoa kwao Argentina ndoa ambayo ilihudhuriwa na wachezaji wenzake na marafiki zake mbalimbali.


Mastaa wa soka ambao Messi alicheza nao Barcelona kutoka kushoto Xavi na mkewe, Fabregas na mpenzi wake na Puyol na mkewe

Zaidi ya marafiki wa Lionel Messi wanaofikia 250 walisafiri kwa ndege binafsi kuelekea Argentina kuhudhuria harusi ya staa huyo ambayo simu za mkononi zilikuwa zimefungiwa kufanya kazi ndani ya ukumbi sherehe ilipo kwa lengo la kuweka privacy pamoja na ulinzi wa askari zaidi ya 450.


Cesc Fabregas wa Chelsea na mpenzi wake


Lionel Messi na mpenzi wake Antonella Roccuzzo waliyefunga ndoa


Lionel Messi na mpenzi wake Antonella Roccuzzo waliyefunga ndoa


Lionel Messi na mpenzi wake Antonella Roccuzzo


Lionel Messi na Antonella Roccuzzo


Lionel Messi na Antonella Roccuzzo


Alba wa FC Barcelona na mpenzi wake


Staa mwenzake wa FC Barcelona Luis Suarez na mkewe Sofia


Lionel Messi na Antonella Roccuzzo


Lionel Messi na Antonella Roccuzzo


Lionel Messi na Antonella Roccuzzo


Lionel Messi na Antonella Roccuzzo








Staa wa Man City na timu ya taifa ya Argentina Sergio Aguero akiwa na mpenzi wake


Staa wa Cameroon aliyewahi kucheza na Lionel Messi FC Barcelona Samuel Eto’o akiwa na mke wake

No comments

Powered by Blogger.