Mashabiki na wadau wa Chelsea na Tottenham tazama hapa muenekano wa jezi mpya...
Siku chache zilizopita Ligi Kuu ya England maarufu kama English Premier League‘EPL’ ilitangaza ratiba yote ya msimu mpya wa ligi hiyo 2017/18 ambao unatarajia kuanza August 12, 2017.
Mbali na klabu za ligi hiyo kujiandaa kwa mazoezi makali, pia zimekuwa zikitambulisha jezi zao ambazo watazitumia katika mechi mbalimbali za nyumbani na ugenini msimu huu.
Nimekuwekea hapa picha za jezi zitakazotumiwa na Chelsea FC na Tottenham Hotspurambazo zimetengenezwa na Kampuni ya vifaa vya michezo ya Marekani Nike.
Post a Comment