POGBA ACHAFUA HALI YA HEWA MAKKA.....
Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.
Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani zote licha ya kwamba atakuwa na mechi za kimataifa.
Pogba ambaye ni maarufu kwa mbwembwe akiwa uwanjani, katika picha alizo sehemu hiyo tukufu, anaonekana kuwa mtulivu na myenyekevu hasa.
Post a Comment